IQNA-Profesa mmoja kutoka Iran amesema kuwa Imam Ali bin Hussein Sajjad (Aleyhi Salaam), Imamu wa nne katika mlolongo wa Maimamu wa Ahlul Bayt (AS), alikuwa na jukumu muhimu sana katika kuhifadhi ujumbe wa Karbala na kupambana na propaganda za Bani Umayyah kupitia dua, khutuba, na mafundisho ya maadili.
Habari ID: 3480915 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/08
Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Mitihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu inakujakwa njia mbalimbali na utajiri ni njia mojawapo ya kuwatahini wanadamu. Kuna mapendekezo mengi katika Qur’ani Tukufu na maandishi mengine ya Kiislamu kuhusu jinsi ya kupata na kutumia mali.
Habari ID: 3476146 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25